Video | Tilawa ya Mowahhed Amin katika Swala ya Idul Fitr Tehran
IQNA- Ustadh Hadi Mowahhed Amin, qari wa kimataifa wa Iran, asubuhi ya Mosi Shawwal 1446 Hijria (31 Machi 2025) katika mwanzo wa hafla ya Swala ya Idul Fitr jijini Tehran, alisoma aya za Surah ya Al-A‘laa katika Qur'ani Tukufu. Swala hiyo iliswalishwa na Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.